BeroGenge Bamaga Sinza 0716393008
BeroGenge Bamaga Sinza 0716393008
BeroGenge Bamaga Sinza 0716393008
BeroGenge Bamaga Sinza 0716393008
BeroGenge Bamaga Sinza 0716393008
BeroGenge Bamaga Sinza 0716393008
BeroGenge Bamaga Sinza 0716393008

BeroGenge Bamaga Sinza 0716393008

Price Starts from
Vendor
gifts
Regular price
0.00 TZS
Sale price
0.00 TZS
Regular price
Sold out
Unit price
per 

Tunazo zawadi mbalimbali kwa ajili ya maharusi, sherehe mbalimbali, na picha tunaagiza bidhaa za kila aina kutoka China, dubai na uturuki kwa ajili ya harusi yako.

www.berogenge.com & www.tununuepamoja.com

TununuePamoja ni nini?

TununuePamoja ni moja kati ya huduma zitolewazo na kampuni ya Bero Investment & General Supply kupitia project yetu ya ununuzi wa bidhaa mtandaoni (BeroGenge). TununuePamoja ni mfumo mpya na kupitia Mfumo huu tunakuwezesha kuagiza bidhaa kutoka China kwa kushirikiana na wengine ili kuweza kufikia kiwango cha Chini (MOQ) kinachopangwa na viwanda au wachuuzi wakubwa na kujipatia bidhaa kwa bei nafuu.

Tumelenga nini hasa?

Ni ukweli usiopingika kwamba upatikanaji wa bidhaa kutoka China ni nafuu katika suala la bei na ni ndoto ya wafanyabiashara wengi kuweza kupata bidhaa moja kwa moja kutoka China. Lakini tatizo kubwa linalowakwamisha wengi ni uwezo wa kufikia kiwango cha chini cha kununua bidhaa yaani MOQ, kwani mara nyingi itakuhitaji ununue kiwango kikubwa ndipo upate kwa bei nafuu. Kutokana na uwezo wa mtaji au mipangilio mingine ya kibiashara suala hili ya MOQ linakwamisha wengi kununua bidhaa kutoka China.

Tunafanya nini hasa?

TununuePamoja.com kwa umakini na umahiri tunahakikisha upatikanaji wa bidhaa zilizo bora, tunapokea oda zako, tunahakikisha pesa zako zipo salama na tunafanya malipo ya oda zako sehemu husika, tunakusafirishia mzigo hadi kwenye stoo zetu na pia tunahakikisha kila mmoja anapata mzigo wake kulingana na idadi aliyoagiza. Mfumo huu ni rahisi kutumia na ni rafiki kwa mtumiaji.

Tunapatikana wapi?

Ofisi na stoo yetu ipo karibu na kituo cha daladala Bamaga barabara ya Sinza Dar es Salaam, Wasiliana nasi kwa+255716393008 (Call & SMS & Whatsapp)

Customer Reviews

Based on 1 review Write a review